TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO
Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Afrika Mashariki tawi la Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro,kinataraji kufanya Tamasha la siku ya Kiswahili.Tamasha hili litakuwa ni tarehe 01/01/2014 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni.
MAHALI;Ukumbi wa Mikutano wa Chuo na Baadae Uwanja wa Mpira wa Miguu.
MAMBO YATAKAYOJUMUISHWA;
- Uzinduzi wa kitabu cha ushairi
- Uchambuzi yakinifu wa kazi za Fasihi
- Maghani
- Igizo
- Mpira wa Miguu
- Mashindano ya kukuna nazi
- Kuvuta kamba
- Kukimbiza kuku
Njoo upate Elimu,njoo Uburudike
KISWAHILI HAZINA YA AFRIKA KWA MAENDELEO ENDELEVU
No comments:
Post a Comment