TAARIFA YA ZIARA YA KIMASOMO BAGAMOYO
Chama cha wanafunzi wa kiswahili Afrika mashariki tawi la Chuo kikuu cha Morogoro kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa tarehe 14/11/2013 kutakuwa na ziara yakimasomo katika mji wa Bagamoyo.Maeneo tunayotarajia kutembelea;- Chuo cha sanaa Bagamoyo
- Ngome Kongwe
- Magofu ya kaole
- Kaburi la Wapendanao
- Kisima na bandari kongwe
- kisima cha mamba
No comments:
Post a Comment